text
stringlengths
7
6.75k
je, hapa kulikuwepo na chuki au uhasama katika maamuzi yaliyofikiwa katika kumkamata mbunge huyo?
kwanini jeshi letu litumike kwa mambo ya aibu hivi? jeshi letu linazidi kushuka hadhi siku hadi siku sio kwa kuwa kanuni zao ni mbovu, kanuni zao ni nzuri isipokuwa hazifuatwi, na viongozi wakubwa wa jeshi ndio viongozi wa kuvunja kanuni hizi.
nimeombwa niulize hivi polisi hawakujua suala hili? kama lema alikosea sana wakati akiwa chuo cha uhasibu kwanini kamanda wa polisi wa mkoa (rpc) na mkuu wa polisi wa wilaya (ocd) na makachero wote hawakumkamata pale pale? alifanya kosa hilo baada ya kuondoka?
hakuna uwezekano wowote kukubali kuwa jeshi letu halitumiki vibaya. kila tendo lina gharama zake, hili la kumkamata lema limegharimu heshima ya jeshi la polisi. huo ndio ujumbe niliotumwa niwaambie. si maneno yangu, mtapima kama mpo tayari kubadilika au la.
maombi ya nafasi ya kazi: anahitajika meneja katika kituo cha kulelea watoto katika kijiji cha mkuranga mkoani pwani. _ mtanda blog
home / uncategories / maombi ya nafasi ya kazi: anahitajika meneja katika kituo cha kulelea watoto katika kijiji cha mkuranga mkoani pwani.
maombi ya nafasi ya kazi: anahitajika meneja katika kituo cha kulelea watoto katika kijiji cha mkuranga mkoani pwani.
anahitajika meneja wa kijiji cha kulea watoto yatima kilichopo maeneo ya mkuranga, nje kidogo ya jiji la dar es salaam.
awe mwenye uzoefu wa kufanya kazi na watoto wenye umri kuanzia miaka sifuri mpaka ishirini na mbili na awe amepitia ualimu na ustawi wa jamii, awe tayari kuhamia katika eneo la kulea watoto na awe na uwezo wa kuongea lugha za kishwahi na kiingereza kwa ufasaha.
mwisho wa kutuma maombi ni tarahe ishirini na tano/sita/elfu mbili na kumi na tatu.
habari na matukio: kamishna mkuu tra afanya ziara ya kikazi tbl
kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato tanzania (tra), charles kichere wakati alipoongoza ujumbe wa maofisa waandamizi wa taasisi hiyo katika ziara ya kikazi katika kiwanda cha bia cha tanzania breweries limited, kilichopo ilala jijini dar e salaam.
mkurugenzi mtendaji wa tbl group, roberto jarrin (aliyesimama) akielezea ujumbe wa kamishna mkuu wa tra utendaji kazi wa kampuni hiyo.
meneja wa afya na usalama sehemuya kazi wa tbl group, renatus nyanda (kushoto) akimweleza kamishna mkuu wa tra (kulia) na ujumbe wake utekelezaji wa kanuni za usalama wa kampuni kabla ya kuanza ziara ya kutembelea kiwanda ,wa pili kulia ni mkurugenzi mtendaji wa tbl,roberto jarrin.
kamishna mkuu wa tra na ujumbe wake wakipata maelezo ya mchakato wa kutengeneza bia kutoka kwa meneja wa kiwanda cha tbl cha ilala-calvin martin.
mkurugenzi mtendaji wa tbl group,roberto jarrin ( wa nne kulia) na kamishna mkuu wa mamlaka ya mapatotanzania (tra) charles kichere ( wa tatu kushoto ) wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa tbl na tra wakazi wa ziara ya kikazi ya watendaji wa tra katika kiwanda hicho.
wiki iliyopita nchini marekani idadi wa watu waliokuwa wamejisajili kwenye orodha ya wanaohitaji mshaara wa kutokuwa na kazi ilikuwa ni mia mbili na thelathini na nne,sifuri. kiwango ni kikubwa kabisa kupata kurekodiwa ndani ya miezi sita.
kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na wizara ya kazi ya nchi hiyo, kwa mara ya kwanza idadi ya waliojiandikisha kuhitaji mshaara wa wasiokuwa na kazi katika wiki inayoishia novemba ishirini na nne ukilinganisha na wiki iliyotangulia iliongezeka kwa watu kumi,sifuri kufanya idadi kufikia mia mbili na thelathini na nne,sifuri.
kuanzia mwezi mei mpaka hivi sasa idadi kubwa ya walijisajili kutokuwa na kazi wanaosubiri soko la ajira ilikuwa ni mia mbili na ishirini,sifuri. kufikia wiki iliyopita wastani wa watu waliokuwa wakijiandikisha kuhitaji mshahara wa kutokuwa na kazi ilikuwa nne,mia saba na hamsini hivyo kufanya idadi kufikia mia mbili na ishirini na tatu,mia mbili na hamsini
kufikia novemba kumi na saba jumla ya idadi waliojiandikisha kwenye orodha ya wanaohitaji mshahara wa wasiokuwa na kazi ilifikia milioni moja laki saba na kumi elfu imefahamishwa.
rapa kutoka marekani, future adata na hip hop ya afrika...afunguka haya
hata hivyo, rapa future baada ya kunogewa na midundo ya kiafrika amethibitisha kuwa tayari amefanya kolabo na wizkid kutoka nigeria .
vanessa mdee anaendelea kushambulia kwa kasi na haoneshi dalili za kupumzika.
akiwa anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake ‘nobody but me’ aliomshirikisha rapper wa afrika kusini, k.o, vee money amesema tayari mkononi ana video ya wimbo mpya.
serikali ya mali yatangaza tarehe ya uchaguzi wa wabunge - afrika - rfi
serikali ya mali yatangaza tarehe ya uchaguzi wa wabunge
raia huyu anajiandaa kupiga kura katika kituo cha uchaguzi cha mjini bamako katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini mali agosti kumi na mbili, elfu mbili na kumi na nane (picha ya kumbukumbu). issouf sanogo / afp
serikali ya mali imetangaza tarehe ya uchaguzi ujao wa wabunge. duru ya kwanza ya uchaguzi itafanyika tarehe ishirini na nane oktoba na duru ya pili mnamo novemba kumi na nane.
tangazo ambalo linakuja siku chache baada ya ibrahim boubacar keita kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa agosti kumi na mbili, hali ambayo ilizua mgogoro wa baada ya uchaguzi.
katika taarifa iliyotumwa jumanne kwa jumuiya ya kimataifa, upinzani unasema kuna kesi za wafuasi wake wanaoendelea kukamatwa nchini humo.
tarehe hiyo ya uchaguzi wa wabunge ilitangazwa na baraza la mawaziri jumanne wiki hii, kikao ambacho kiliongozwa na waziri mkuu, soumeylou boubèye maïga. na kulingana na sheria, kampeni ya uchaguzi ya duru ya kwanza ya uchaguzi itafanyika kuanzia oktoba sita hadi ishirini na sita.
tangazo hili linakuja katika mazingira ya kutatanisha, baada ya kiongozi wa upinzani soumaila cisse kushindwa katika uchaguzi wa urais kulingana na matokeo yaliyotangazwa na mahakama ya katiba.
hii ndiyo ngoma mpya iliyofanywa na watu wawili; roma mkatoliki a.k.a roma2030 na bob junior
ni ngoma ya pekee inayoonesha ushirikiano wa hatari na wa namna yake kati ya bob junior na roma. kazi imesimamiwa na sharobaro music
kuonyesha moyo wa dhati kwa kazi hii nunua hapa
burundi yatangaza muda wa mwisho wa kutumia mifuko ya plastiki - e.a.c - rfi
burundi pierre nkurunziza mazingira uchafuzi wa hali ya hewa
rais wa burundi pierre nkurunziza ametoa amri inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini humo na kutoa muda wa mwisho wa kutumia mifuko hiyo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, kulingana na agizo la rais.
kwa mujibu wa amri hiyo iliyosainiwa na rais nkurunziza utengenezaji, uagizaji, kuhifadhi, uuzaji na matumizi mengine ya mifuko ya plastiki vitapigwa maarufuku kufikia kipindi hicho.
aidha amri hiyo itatoa ruhusa maalum ya mifuko ya plastiki na malighafi nyingine za plastiki kutumika katika huduma za ufungishaji dawa katika viwanda nchini humo kwa lengo la kukabiliana na uaharibifu wa mazingira
"kipindi cha miezi kumi na nane kinatolewa, kuanzia baada rais kutia saini nakala hii, ili kuweza kuuza na kutumia mifuko ya plastiki iliyokuwa imehifadhiwa na ile ambayo ilikua iliagizwa nje ya nchi," nakala hiyo imebaini.
lakini mifuko ya plastiki, vifaa vya plastiki vinavyotumiwa katika huduma za matibabu, katika viwanda na maduka ya dawa" vitaendelea kutumiwa kwa masharti, imeongeza nakala hiyo.
nchi nyingine za afrika tayari zimeanza kupikabiliana na uchafuzi wa vifaa na mifuko ya plastiki, kama vile morocco, rwanda na kenya, ambazo zilipiga marufu matumizi ya mifuko ya plastiki.
beijing kupunguza matumizi yake ya …
mwezi kuwa mkubwa siku ya jumatatu
unicef: mtoto mmoja kati ya saba …
wakuu wa majeshi ya uturuki, marekani na urusi wakutana. – zanzibar broadcasting corporation
mkuu wa majeshi ya uturuki anakutana na wenzake wa marekani na urusi katika mkoa wa kusini mwa uturuki wa antalya ili kujadili kuhusu usalama wa kikanda, hasa katika nchi nchini syria na iraq.
mwezi agosti, wanajeshi wanaoongozwa na uturuki walianzisha operesheni ya kulifurusha kundi la dola la kiislamu kutoka mpaka wa uturuki na syria na kuwazuia wapiganaji wa kikurdi kulikamata eneo hilo.
uturuki inaliona kundi hilo kuwa sehemu ya chama cha wafanyakazi wa kikurdi – pkk ambacho kinaendesha uasi nchini uturuki.
baada ya kimya cha muda na maneno kibao hatimaye alikiba ameachia ngoma yake mpya 'seduce me' unaweza kuipata hapa.
ofisi ya mkuu wa mkoa rukwa: tanroads kujenga daraja mto momba kuunganisha rukwa na songwe
kuhamisha muziki kutoka itunes kwa pc/mac
kwanza ya yote unahitaji kufungua programu tunesgo kwenye pc/mac yako na mbili kubofya ikoni yake. skrini nyumbani kama ilivyotolewa chini itaonekana.
sasa nenda kwenye muziki chaguo chini ya maktaba ya itunes kwenye upande wa mkono wa kushoto ambayo itaonyesha orodha ya nyimbo zilizopo.
nenda kwenye menyu ya juu ya tunesgo na bonyeza "hamisha kwa" chaguo ambalo kuonyesha orodha ya vifaa vilivyopo na teua hapa pc yako au mac. (onyesha kiwamba inaonyesha chaguo teuliwa kama "kuhamisha kwa ngamizi yangu")
baada ya umeteua kabrasha fikio, nyimbo itakuwa kuhamishiwa na hamisha itakuwa mafanikio (screen risasi inaonyesha mafanikio usafirishaji wa nyimbo). unaweza kuangalia nyimbo kwenye kompyuta yako au mac.
master j na shaa walikutana kwa mara ya kwanza kwenye mradi wa cocacola popstars takriban miaka kumi iliyopita. download app yetu >> bofya hapa << tukutumie habari na burudani zote fasta kila time bure kabisa !
rais wa tanzania john magufuli akiwa na mgeni wake rais wa rwanda paul kagame, ikulu jijini dar es salaam januari kumi na nne elfu mbili na kumi na nane twitter.com/mwananchinews
rais wa rwanda paul kagame, amekuwa katika ziara ya siku moja nchini tanzania siku ya jumapili, ikiwa ni ziara yake ya pili ya kikazi nchini humo tangu kuingia madarakani kwa rais john magufuli mwaka elfu mbili na kumi na tano.
katika mashauriano yake na mwenyeji wake rais magufuli, viongozi hao wawili wamekubaliana kujenga reli ya kati kutoka isaka nchini tanzania hadi jijini kigali.
marais hao wamewaagiza mawaziri wa nchi hizo mbili wanaohusika na uchukuzi kukutana hivi karibuni, kujadili uwezeshaji wa mradi huu mkubwa.
rais magufuli amesema mradi huu utaimarisha jumuiya ya afrika mashariki kibiashara na kusaidia kuunda nafasi za kazi hasa kwa vijana.
mradi huu ukikamilika, utasaidia wafanyibiashara kusafirisha mizigo kati ya nchi hizo mbili, hasa rwanda ambayo itakuwa na uwezo wa kusafirisha kwa urahisi mizigo yake kutoka bandari ya dar es salaam.
mbali na mradi huu, tanzania na uganda zinashirikiana katika mradi wa bomba la mafuta kutoka hoima kwenda bandari ya tanga, mradi ambao ukikamilika, utasaidia uganda kusafirisha mafuta yake katika soko la kimataifa.
mataifa ya jumuiya ya afrika mashariki, kenya, uganda, tanzania, rwanda, burundi na sudan kusini yamekubaliana kuimarisha miundo mbinu ya reli na barabara ili kuunganisha eneo la afrika mashariki kwa lengo la kuimarika kiuchumi.
rushwa na ukosefu wa maadili unavyosumbua waamuzi wa afrika - rfi
mwamuzi wa kimataifa wa kenya, aden marwa ambaye ameondolewa kuchezesha fainali za kombe la dunia nchini urusi wikipedia
shirikisho la kandanda duniani fifa limemwondoa mwamuzi msaidizi aden marwa aliyepaswa kuchezesha fainali za kombe la dunia nchini urusi, baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa.
sintofahamu yaibuka katika timu ya taifa ya soka ya nigeria
shirikisho la soka nchini ghana lavunjwa kutokana na tuhuma za rushwa
semalt: kwa nini maudhui safi ni muhimu kwa tovuti yako na seo
kumbukumbu ya mwalimu nyerere na kilele cha mbio za mwenge wa uhuru.
opinion by juliemoron posted zaidi ya mwaka mmoja uliopita
'maceleb' tisa ambao wanapendeza wakiwa na mchano wa nywele wa aina ya 'drealocks' ▷ tuko.co.ke
hapo awali, mtu yeyote angeweka mtindo huu wa nywele angetajwa kuwa msenge na angebaguliwa katika jamii.
tuko.co.ke iliweza kuangazia baadhi ya 'maceleb ' wa humu nchini ambao wanavutia sana wakiwa wameweka aina ya mchano huu.
nazizi ambaye ni mama wa mtoto mmoja huonekana kuwa mrembo sana na mchano huo wa nywele.picha:nazizi hirjir/instagram
juliani ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za injili ameenzi sana mchano huu wa nywele kwa muda mrefu.picha:juliani/instagram
uamuzi wa matiang'i ambao utamwokoa gavana joho ▷ tuko.co.ke
uamuzi wa matiang'i ambao utamwokoa gavana joho
kulingana na matiang'i, hakuna uhusiano wowote kati ya kuwa na shahada ya chuo kikuu na uongozi mwema wa kaunti.
akiongea na wakenya wanaoishi jijini boston marekani alisisitiza kuwa kenya inafaa kutumia mfumo wa marekani ili kuondoa makosa yaliyomo katika mtaala wa elimu.
hi thanks for the heshima :) ilitumwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita
- msanii wa injili bahati kwa mara nyingine amejisababishia fedheha baada ya kuchapisha picha akiwa na mke wake diana marua
huenda watumiaji wa mtandao kila mara huwa tayari kuponza kitu kizuri na mfano bora ni penzi la bahati na mke wake diana marua.
wawili hao ambao ni wahusika wakuu katika shoo yao, walizozana kwa muda wa wiki chache zilizopita nah ii ilikuwa ni kwa manufaa ya kipindi hicho.
hadi sasa, wawili hao wamerejeleana na mambo ni shwari baada ya bahati kumzawidi mke wake huyo nyumba mpya.
jifunze kutokana na hadithi ya yakobo na esau. pakua zoezi hili, soma hadithi ya biblia, na uwazie kihalisi masimulizi hayo akilini mwako!
je, unatambua kwamba ni muhimu kuchagua marafiki kwa hekima?
mkurugenzi idara ya asia na australasia, balozi mbelwa kairuki (kulia) akutana na balozi wa china nchini mhe. lu youqing, kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka hamsini ya ushirikiano kati ya tanzania na china yatakayofanyika nchini china mwezi oktoba elfu mbili na kumi na nne.
maafisa kutoka hazina na mambo ya nje wakifuatilia mazungumzo hayo kwa makini.
kumbukumbu ya mwalimu nyerere
haya hapa magazeti ya leo jumatatu februari kumi na tisa,elfu mbili na kumi na nane - ndani na nje ya tanzania
imewasilishwa kwa sarahcorine zaidi ya mwaka mmoja uliopita
pamoja na umuhimu wa cheti cha kuzaliwa bado wananchi wengi hawana vyeti vya kuzaliwa nchini. kwa mujibu wa takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka elfu mbili na kumi na mbili ni asilimia kumi na tatu nukta nne tu ndio walio na vyeti vya kuzaliwa na zipo sababu nyingi za kimfumo wa usajili na kihistoria zilizosababisha hali hii.
ishara ya nyakati
kikosi cha tanzania prisons dhidi ya simba
maliasili na utalii blog: waziri wa maliasili, prof. jumanne maghembe atembelea chuo cha bti tabora, amtaka mkuu wa mkoa huo kuandaa utaratibu kwa wajasiriamali wa ufugaji nyuki kujifunza chuoni hapo
ofisa wa kampuni ya tupamoja, khamis haji mzee (katikati), akiwaonyesha wananchi jinsi anvyoingiza matangazo mbalimbali kwenye mtandao. kushoto ni mkurugenzi wa kampuni hiyo, kristin dorl.