Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
id
int64
1
3.99k
text
stringlengths
9
123
audio
audioduration (s)
1.24
11
audio_language
stringclasses
1 value
is_studio
bool
1 class
speaker_id
int64
246
246
1
Mimbilingani daima hukua vizuru chini ya hali ya joto kiasi
swa
true
246
2
Mashamba wakati mwingine ni changamoto kwa wakulima
swa
true
246
3
Wakulima wahimizwe kulima kahawa
swa
true
246
4
Uganda inaangazia kilimo
swa
true
246
5
Baadhi ya mimea hufa kwa kukosa mwanga wa jua
swa
true
246
6
Ni wapi tunaweza pata aina nzuri na sugu ambazo zinauzwa sana
swa
true
246
7
Mashina ya muhogo yahitajika kwa kupanda
swa
true
246
8
Bustani ina mimea ya nyanya yenye ugonjwa
swa
true
246
9
Unapataje taarifa ya soko la viazi vitamu
swa
true
246
10
Kituo cha redio kimetupa jukwaa la kuuza mboga zetu
swa
true
246
11
Simu ya mkononi zimewezesha kupata taarifa za dawa ya maharagwe
swa
true
246
12
Mwezi uliopita nilihitaji habari kuhusu matunda ya pashoni
swa
true
246
13
Taarifa ya soko la ndizi zitolewe kwa wakulima wote
swa
true
246
14
Mkulima anahitaji habari kuhusu makampuni ambayo yana miche bora ya nyanya
swa
true
246
15
Baadhi ya maduka ambayo wakulima wanaweza kupata mbolea na vifaa bora vya kupandia
swa
true
246
16
Vipindi vya kilimo vya redio vinatoa taarifa ya jinsi ya kupata nyenzo za kupanda muhogo
swa
true
246
17
Kuna aina kadhaa ya muhogo ambayo hukua katika eneo hilo
swa
true
246
18
Wakulima wanapopata taarifa kuhusu mlipuko wa magonjwa mapema inawasaidia kujipanga vyema
swa
true
246
19
Wakulima wanaweza kufaidika sana kutokana na ushauri wa kudhibiti magonjwa
swa
true
246
20
Kila Jumatatu wakulima hupewa ushauri kuhusu ukuzaji wa kahawa
swa
true
246
21
Wakulima wanahitaji ushauri wa hali ya hewa ili kuwasaidia kujipanga vyema
swa
true
246
22
Wizara imetoa ushauri kwa wakulima jinsi ya kupanda muhogo
swa
true
246
24
Unashauriwa kila mtu katika wilaya kuwa na bustani
swa
true
246
25
Baadhi ya mazoea muhimu katika kilimo:nafasi, kupalilia,wadudu na udhibiti wa magonjwa
swa
true
246
26
Wakulima wanapewa jukwaala kuuliza maswali yote yanayohusiana na kilimo
swa
true
246
27
Wakulima wanashauriwa kukuza mazao mbali mbali na mahitaji makubwa
swa
true
246
28
Dawa kadhaa zinazopendekezwa wakati wa kunyunyizia maharagwe
swa
true
246
29
Kilima ina faida nyingi kwa wakulima wadogo wadogo
swa
true
246
30
Uzalishaji wa aina tofauti ya mazao ndio itasaidia mtu huyo
swa
true
246
31
Tunapata habari juu ya jinsi ya kuhifadhi mazao yetu kutoka kwa matangazo ya redio
swa
true
246
33
Taarifa juu ya jinsi ya kukuza matunda na mboga ni muhimu sana kwa wakulima
swa
true
246
34
Taarifa kuhusu utabiri wa hali ya hewa na maandalizi ya bustani kwa ajili ya kupanda
swa
true
246
35
Majadiliano mengine ya redio yanaweka wazi soko nzuri kwa mazao ya wakulima
swa
true
246
36
Mpango wa kilimo uliofanywa kwenye redio husaidia wakulima kujua msimu mzuri wa kupanda
swa
true
246
37
Wakulima wanapata ujuzi wa kupanda mbegu na magonjwa yanayoathiri mazao yao
swa
true
246
38
Mashirika fulani hutoa taarifa kwa wakulima juu ya pembejeo za mazao kupitia kwa redio
swa
true
246
39
Ndege wamekula nguzo zote za mahindi katika bustani ya mwanamke huyo
swa
true
246
40
Jani hili la manjano lenye msingi wa zambarau lina ugonjwa
swa
true
246
41
Jani lina mtari ya njano na kutu katkati
swa
true
246
42
Kutu ya majani ya mahindi husababisha ncha ya jani kukauka
swa
true
246
43
Baadhi ya majani yenye ugonjwa yamekauka
swa
true
246
44
Baadhi ya majani ya njano kwenye mimea hii yamekunjwa upande mmoja
swa
true
246
45
Moja ya dalili za kutu ya majani ya mahindi na ukungu wa mahindi ni majani kuwa ya njano
swa
true
246
47
Mabaka kwenye majani sio ishara nzuri kwa mazao ya chakula
swa
true
246
48
Sehemu ya juu ya mmea wa mahindi umeliwa na mbuzi hawa wanaozurura
swa
true
246
50
Kupalilia ni mazoea ya ukulima bora ambao kila mmoja anatakiwa aujue
swa
true
246
51
Mtama ni mzuri na wenye afya na hii itatupa mazao bora
swa
true
246
52
Nadhani mmea huu una ugonjwa kwa sababu majani yake yote ni ya manjano
swa
true
246
53
Tuna uwezekano mkubwa wa kukosa mavuno kutoka kwa mmea huu
swa
true
246
54
Baadhi ya mimea ya karanga imeliwa na mchwa
swa
true
246
55
Madoadoa ya kahawia katikati ya majani yaliyoathirika
swa
true
246
56
Jani lililoathiriwa huenda lilitokana na hali mbaya ya hewa
swa
true
246
57
Wanyama wanaozurura kwenye bustani wameharibu mazao yote
swa
true
246
58
Majani haya yenye ugonjwa yanakauka kwa sababu yanaandamwa na magugu
swa
true
246
59
Mavuno duni ya ndizi inatokana na ugonjwa wa kutu ya mahindi
swa
true
246
60
Kudumaa kwa migomba inatokana na magugu katika bustani
swa
true
246
61
Mmea ulioharibiwa unaweza kuwa umeliwa na viwavi jeshi
swa
true
246
62
Bustani inahitajika kupaliliwa kwa sababu iko katika sehemu ya misitu
swa
true
246
63
Shina la juu limeliwa na viwavi jeshi
swa
true
246
64
Mahindi yapo kwenye bustani ya kichaka na yana kutu ya majani
swa
true
246
65
Mmea wa viazi una majani ya njano yenye madoa ya kahawia kwa majani
swa
true
246
66
Mmea huu una majani ya njano yenye madoa ya kahawia kati ya mishipa
swa
true
246
67
Majani ya nyanya ni ya manjano na kavu
swa
true
246
68
Majani yana maganda kwa sababu ya wadudu
swa
true
246
69
Kwa kawaida madoa meupe kwenye majani ya mahindi huletwa na wadudu
swa
true
246
71
Madoa meupe ya mahindi yanatokana na viwavi jeshi
swa
true
246
72
Majani ya muhogo yana mstari wa njano chini
swa
true
246
73
Moja ya upungufu wa kawaida katika mimea ya machungwa ni kuwa na njano ya ncha ya majani
swa
true
246
74
Majani ya mahindi yamejaa mashimo kwa sababu yanaliwa na wadudu
swa
true
246
75
Mkulima katika kijiji cha Bukujju alituonyesha baadhi ya mimea yenye magonjwa katika bustani
swa
true
246
76
Katika wilaya ya Kayumga,bustani mingi ina mimea ya mahindi yenye ugonjwa
swa
true
246
77
Kuna mimea mingi ya maharagwe yenye ugonjwa katika eneo hilo
swa
true
246
78
Rangi ya kahawia kwenye majani ya kahawa ni matokeo ya kutu ya kawaida
swa
true
246
79
Kiwavi jeshi anakula tawi la mahindi
swa
true
246
80
Uwepo wa magugu kwenye bustani husababisha majani ya mahindi kugeuka manjano
swa
true
246
81
Mmea wa mahindi una kutu kwa sababu ya ugonjwa huo
swa
true
246
82
Nafaka za mmea huu wa mahindi ni wa kiwango kikubwa ambayo sio kawaida
swa
true
246
83
Ugonjwa wa michirizi ya mahindi hufanya mistari ya kati kwenye tawi na kugeuka manjano
swa
true
246
84
Mbuzi wamekula mahindi katika bustani
swa
true
246
85
Moja ya dalili kwa mmea ulioathiriwa na ugonjwa wa michirizi ya mahindi ni majani ya manjano
swa
true
246
86
Jani la mahindi limeliwa na viwavi jeshi
swa
true
246
87
Mmea umeathiriwa na ugonjwa wa mahindi kwa sababu jani lina rangi ya kijivu
swa
true
246
88
Mahindi yameathiriwa na viwavi jeshi
swa
true
246
90
Watu wenye mashamba madogo wanafanya mazoezi ya kilimo ili kujikimu maishani
swa
true
246
91
Serikali inawahimiza wananchi vifaa bora ili kupata mazao bora
swa
true
246
92
Wakulima hawana soko la mahindi
swa
true
246
93
Unaweza imarisha mavuno yako kwa njia zifuatazo
swa
true
246
94
Ufugaji wa nyuki huleta chakula na mapato
swa
true
246
95
Mahitaji ya sungura yamekuwa yakiongezekakatika siku za hivi karibu
swa
true
246
96
Wakulima nchini Uganda wanapitia changamoto nyingi zinazoambatana na magonjwa ya mimea na hali ya anga
swa
true
246
97
Mjuzi katika kilimo na lishe alitawala tuzo za chakula
swa
true
246
98
Kuchelewa kupuliza ndio sababu chakula tulicho nacho kimeharibika
swa
true
246
99
Je kutupilia mbali kwa mikopo inaweza kuimarisha uchumi?
swa
true
246
100
Kuwa makini jinsi unavyotumiwa pesa zako
swa
true
246
101
Maonyesho ni njia moja ya uuzaji bidhaa mpya
swa
true
246
102
Kukodisha ni njia mojawapo ya kutumia mali zisizo tumiwa
swa
true
246
103
Kunazo nafasi kubwa ya uwekezaji katika viwanda vya kibinafsi
swa
true
246
104
Benki nyingi zinapeana mikopo
swa
true
246
105
Siku hizi shule zinaangazia kuwafundisha wasomi jinsi ya kuendesha biashara
swa
true
246
106
Uanzishaji wa viwanda yaweza kuwasaidia Waganda kupata kazi
swa
true
246
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
48